Vendor Information
- Store Name: BVG
- Vendor: BVG
-
Address:
Outer Ring Road
North Airport
Nairobi
Nairobi County
000100 - No ratings found yet!
36 in stock
KSh900.00
36 in stock
Report Abuse

In Stock
Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1, utapata:
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa mpya
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
• mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji
• sehemu ya ‘Tujifurahishe’ inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanapotumia lugha.
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi.
50 in stock
Pritt Stick is the ideal clean, quick and accurate way of sticking paper, cardboard and photos. Pritt is the world market leader and the originator of glue stick.
The glue can be applied smoothly and evenly, and allows sufficient time to reposition the object. Thanks to the special airtight cap+tube-system, the glue stick keeps fresh and can be used for several years.