Let's Chat
,

Kiswahili Dadisi Workbook Grade 1

Availability:

In Stock


Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi. Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani.
Kitabu hiki:
• Kimeandikwa kwa kufuata mada zote kwenye silabasi
• Kina mazoezi mengi ya kufurahisha na kuelimisha ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kujenga umilisi katika kila mada.
• Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.

KSh350.00

In Stock

Report Abuse

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi. Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitaz …

SKU: 11614 Categories: ,
BVG
BVG

Based on 0 reviews

0.0 overall
0
0
0
0
0

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Workbook Grade 1”

There are no reviews yet.

Vendor Information

  • Store Name: BVG
  • Vendor: BVG
  • Address: Outer Ring Road
    North Airport
    Nairobi
    Nairobi County
    000100
  • No ratings found yet!

SHOPPING CART

close