Let's Chat
,

Kiswahili Dadisi – Mazoezi ya lugha – Kiswahili Language Activities PB 1

Availability:

In Stock


Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masualaibuka.

Katika Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1, utapata:

 

  • mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
  • mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
  • mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
  • mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
  • jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi.

KSh350.00

In Stock

Report Abuse

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufaham …

SKU: 673578 Categories: ,
BVG
BVG

Based on 0 reviews

0.0 overall
0
0
0
0
0

Be the first to review “Kiswahili Dadisi – Mazoezi ya lugha – Kiswahili Language Activities PB 1”

There are no reviews yet.

Vendor Information

  • Store Name: BVG
  • Vendor: BVG
  • Address: Outer Ring Road
    North Airport
    Nairobi
    Nairobi County
    000100
  • No ratings found yet!

SHOPPING CART

close