Based on 0 reviews
Be the first to review “Racer Fine Red (Packet) 20pcs”
You must be logged in to post a review.
50 in stock
KSh330.00
50 in stock
Report AbuseYou must be logged in to post a review.
In Stock
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi. Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani.
Kitabu hiki:
• Kimeandikwa kwa kufuata mada zote kwenye silabasi
• Kina mazoezi mengi ya kufurahisha na kuelimisha ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kujenga umilisi katika kila mada.
• Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.
There are no reviews yet.